FIRSTLADY MICROFINANCE

TURN YOUR DREAM
BUSINESS INTO REALITY

Welcome! We can help

to finance your business

Impactful Financial Services

Microfinance is a powerful tool within impactful financial services, aimed at providing financial access to individuals and small businesses that lack the resources or credit history to qualify for traditional banking services. Here’s a deeper dive into how microfinance creates impact

APPLY TODAY

Loan Requirements

Nyaraka Muhimu za kuomba mkopo FIRSTLADY MICROFINANCE LIMITED

FIRSTLADY MICROFINANCE LIMITED ni taasisi ya kifedha inayodhamini kutoa huduma bora ya
mikopo kwa muda mfupi kuanzia siku 2 hadi 3 baada ya kuwasilisha maombi ya
kukopa na nyaraka muhimu ili kurahisisha maombi ni vizuri mteja akaandaa na kuleta
nyaraka zifuatazo na maombi ya mkopo.

Mkopo wa Biashara

Mahitaji Mkopo wa Biashara /
Business Loan Requirements

Taarifa ya Bank (Bank Statement) Miezi 12.
Picha za Mteja (Passport size).
Vitambulisho vya Mteja.
Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anaokaa mteja na Dhamana.
Nyaraka ya Dhamana (Hati ya ardhi/nyaraka za gari).
Barua ya mdhamini, passport size, kitambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anapoishi mteja.
Mkataba wa pango kwama amepanga.Kutembelewa nyumbani na ofisini.
Nyaraka za usajilimwa biashara (Leseni, TIN, Cerificate n.k).

Clients Testimonials